NAKALA MUHIMU

COMPANY PROFILE

JATU PLC is a public Company Limited by shares incorporated on October 20, 2016. The company is mainly involved in Agriculture, livestock keeping, food processing industries and marketing. The core Vision of JATU is to eradicate poverty and enhance human healthy through the production and selling of food products

TANGAZO LA KAZI YA AFISA MAUZO

Kampuni ya JATU PLC inatoa fursa kwa vijana wa Kitanzania walio katika mikoa ifuatayo: Dar Es Salaam, Mwanza, Dodoma, Mtwara na Arusha kwa nafasi za Afisa Masoko.

KIINGILIO CHA USAJILI JATU PLC

TANGAZO LA KAZI KITUO CHA KANDA YA KATI (DODOMA)

Kampuni ya JATU PLC “Jenga Afya Tokomeza Umasikini” inapenda kuwatangazia nafasi za
Maafisa masoko wenye vigezo vifuatavyo;

  1. ELIMU
    • Stashahada (Diploma) au Shahada (Degree) ya taaluma yoyote
    • Uwezo na Uzoefu binafsi kwenye Masoko
    • Wenye makazi ya kudumu DODOMA na wenye ufahamu wa mazingira ya mkoa tajwa watapewa kipau mbele

TANGAZO KWA WANACHAMA NA WAKAZI WA ARUSHA

Kampuni ya Jatu Plc, inapenda kuwatangazia wanachama na wakazi wote wa Arusha kuwa ofisi ya Jatu iliyokuwa jengo la Said Condo Ghorofa namba mbili chumba namba 221 Kaloleni mkabala na kanisa la pentekoste imehamishiwa jengo la Saidi Condo Ghorofa namba tatu chumba namba 306 lililotazamana kanisa la pentekoste kaloleni maarufu kwa jina la (furniture collection)

Kwa maelezo zaid kuhusu Jatu Plc arusha wasiliana nasi kupitia na +255 (0) 762 264 730.

Tunaomba radhi kwa usumbufu utakao jitokeza

“Jatu, Jenga Afya Tokomeza Umasikini”

JOB VACANCY ANNOUNCEMENT

Company: JATU PUBLIC LIMITED COMPANY
Job Position: Director Of Marketing and Public Relations
Job level: Managerial
Work duration: Full time
Experience: 5 years
Education: Masters and Above
Number of positions: 1

RIPOTI YA MWEZI YA MWENENDO WA HISA ZA JATU PLC KATIKA SOKO LA HISA DSE

TANGAZO LA KAZI KITUO CHA KANDA YA ZIWA (MWANZA)

Mchanganuo wa uwekaji akiba kwa msimu mpya

MUHIMU: TANGAZO LA SEMINA

MUONGOZO WA KUSHIRIKI KATIKA KILIMO 2021-2022

Uongozi na wafanyakazi wa JATU Plc tunayofuraha kuwakaribisha kuwekeza JATU na tunafurahi kuona mmechukua uamuzi wa kuwekeza katika kampuni yetu.


JATU ni kampuni ya Umma iliyo orodheshwa katika soko la Hisa Dar es salaam
na inaongozwa na kumilikiwa zaidi na vijana na wakulima wadogo wadogo nchini.
Dira ya kampuni ni kuwa Kampuni inayoongoza kwa kutoa huduma bora kwa wateja ndani na nje ya nchi katika kilimo biashara, bidhaa za kilimo na kutoa faida nzuri kwa wawekezaji wake.

TAARIFA YA MKUTANO MKUU WA MWAKA (2020) WA JATU PLC

Pakua hapa..!

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

MUHTASARI WA MREJESHO WA UTAFITI WA JATU KATIKA UWEKEZAJI WA ZAO LA MACHUNGWA

Mwanzoni kwa mwezi October mwaka 2019 uongozi wa Jatu ulianza utafiti wa kilimo cha matunda kama sehemu muhimu ya maandalizi ya kuanza kuzalisha bidhaa zitokanazo na matunda.

Uongozi unapendekeza ifikapo mwaka 2024 kampuni iwe na uwezo mkubwa wa kuzalisha matunda pamoja na vinywaji vya aina mbali mbali vitokanavyo na matunda.

Pakua nakala hapo chini kupata taarifa yote.

MRADI WA KILIMO NA BIDHAA ZA NGANO

Zaidi ya asilimia 90 ya ngano inayotumika Tanzania huingizwa kutoka nje ya nchi na huigharimu nchi zaidi ya dola za kimarekani milioni 225 kwa mwaka.

Matumizi ya ngano ndani ya nchi kwa sasa yanakadiriwa kuwa zaidi ya tani 900,000, huku uzalishaji ukiwa ni takribani tani 100,000 pekee zinazozalishwa katika jumla ya ekari 250,000.

Tanzania hutumia ngano nyingi zaidi ya inayozalisha. Ili kuziba pengo hilo, ngano huagizwa kutoka nje ya nchi.

Pakua nakala hapo chini kusoma taarifa yote.

TANGAZO KUTEMBELEA MRADI WA PARACHICHI NA KUZINDUA KAMPUNI YA KILIMO UTALII YA JATU

TAARIFA KUHUSU MASHAMBA YA MAHARAGE

TAARIFA KWA WAKULIMA WOTE WANAOLIMA NA JATU MSIMU WA MWAKA 2020/2021 KATIKA ZAO LA MAHINDI, MPUNGA NA MAHARAGE

HOTUBA YA AFISA MTENDAJI MKUU WA JATU PLC, NDUGU PETER ISARE KATIKA HAFLA YA KUORODHESHWA KWA HISA ZA JATU PLC KWENYE SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM, TAREHE 23 NOVEMBA, 2020

ORODHA YA WANAHISA WANAOTAKIWA KUFIKA KATIKA OFISI ZA JATU PLC – POSTA KWA AJILI YA KUCHUKUA VYETI VYA UMILIKI WA HISA ZA JATU PLC.

PAKUA ORODHA HAPA

FOMU YA MAKUBALIANO JATU NA MKULIMA

PAKUA FOMU HAPA

Hii ni fomu maalum ya makubaliano kati ya mwanachama mkulima na Jatu Plc ambayo mwanachama atatakiwa kuipakua na kuijaza kisha kuituma kwa njia ya barua pepe ya kilimo@jatu.co.tz tayari kwa makubaliano kati ya mwanachama na Kampuni ambayo ni Jatu Plc

jatu memorandum information

PAKUA NAKALA HAPA

JATU’S AUDITED FINANCIAL STATEMENTS

AGM RIPOTI

PAKUA NAKALA HAPA

Kitabu cha Mawakala Final draft B

Share Registrer 2020

PAKUA NAKALA HAPA

ijue jatu kuelekea soko la hisa

November Magazine

PAKUA NAKALA HAPA

namna ya kutumia mfumo wa jatu talk

DOWNLOAD NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA JATU TALK

pakua orodha ya wakulima wa maharage msimu wa 2019/2020

ORODHA YA WAKULIMA WA MAHARAGE NA JATU KILINDI MSIMU 2019/20

pakua nakala ya FAHAMU KUHUSU jatu na wekeza na sisi TOLEO LA 2020

Fahamu kuhusu JATU na wekeza na sisi 2020

PAKUA NAKALA YA TAARIFA YA NAMNA YA KUMILIKI SHAMBA LA MACHUNGWA

Je unahitaji kujiunga na kilimo cha machungwa na JATU Handeni na Muheza Tanga? Pakua nakala hii upate taarifa muhimu ya namna ya kumiliki shamba la machungwa

pakua fomu ya kujiunga na kilimo cha jatu

Jiunge na mradi wa kilimo na JATU kwa kujaza fomu ifuatayo, gharama yake ni 20,000/=

KNOW ABOUT JATU INVEST WITH US

Know About JATU PLC and Invest With Us. Download on below link

ORODHA YA WAKULIMA WA ALIZETI JATU KITETO

Download orodha ya wakulima wa alizeti na JATU msimu wa 2019/20

RATIBA YA KILIMO MSIMU WA 2020 – 2021

Download ratiba mpya ya kilimo msimu wa 2020 – 2021

HAKIKI MAJINA YA WAKULIMA WA MPUNGA JATU

Download majina ya wakulima wa mpunga msimu 2019/20

JATU COMPANY PROFILE

Download Company Profile of JATU PLC

KITABU CHA MAFUNZO

Download kitabu cha mafunzo cha JATU Toleo la February 2020

MUHTASARI NA MREJESHO WA KILIMO CHA MACHUNGWA

Download Muhtasari na mrejesho wa kilimo cha machungwa na JATU Muheza, Tanga

ijue jatu plc

Download Ijue JATU PLC

ORODHA YA WAKULIMA KILINDI

Download Orodha ya Wakulima Kilindi

orodha ya wakulima wa mahindi

Download Orodha ya wakulima wa Mahindi Kiteto

ORODHA YA WAKULIMA WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KITETO

Download Orodha ya wakulima wa kilimo cha Umwagiliaji Kiteto

ORODHA YA WAKULIMA WA MPUNGA

Download Orodha ya wakulima wa Mpunga

MREJESHO WA KILIMO CHA ALIZETI MSIMU 2018/2019

Download mrejesho wa kilimo cha alizeti (JATU) msimu wa 2018 – 2019

ratiba ya kilimo(jatu) msimu 2019 – 2020

Download ratiba ya kilimo (JATU) msimu wa 2019 – 2020

MAZAO NA MIKOA YA UZALISHAJI

Download makala ya mazao na mikoa ya uzalishaji

JATU BUSINESS PLAN FOR KITETO AND MBINGU

Download Jatu Business Plan for Mbingu and Kiteto Project 2019 – 2023