Maswali yaliyouliza mara kwa mara

IPO ni nini? /TOLEO LA AWALI

Ofa ya Awali ya Umma (IPO) inahusu mchakato ambapo kampuni hutoa hisa zake kwa umma. Katika IPO,kampuni inatoa hisa kwa wawekezaji badala ya mtaji. Hii ni moja wapo ya njia ambayo kampuni inakusanya fedha na kukuza mtaji wake. Kampuni yoyote inayotimiza vigezo na masharti ya CMSA inaruhusiwa kupeleka Hisa kwa umma