LIPA KWA NMB

Mwanachama atalipia malipo yake kupitia akaunti ya kampuni ambayo ni,

NMB  Akaunti Na. 23610003111

Jina: JATU SACCOS

Kisha atawasilisha ofisini risiti yake ya benki AU kupiga simu idara ya fedha +255652 692 262 ili kurekodiwa taarifa zake.