LIPA KWA MPESA

1. Ingia M-Pesa  * 150*00#

2. Chagua 4 (Lipa kwa M Pesa)

3. Chagua 4 (Weka namba ya Kampuni)

4. Ingiza namba ya kampuni ambayo ni 406622

5. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo(namba yako ya simu)

6. Weka kiasi

7. Weka namba ya siri

8. Bonyeza 1 kuthibitisha

9. Ombi lako litatumwa kwenda JATU SACCOS

10. Kisha tuma taarifa zako, Jina Lako Kamili, na Malipo uliofanya ni kwa ajili ya nini? kisha tuma kwenda namba +255 (0) 652 692 262, na ufike ofisini siku yoyote kufata risiti yako. Ahsante kwa kuchagua JATU