KUHUSU JATU PLC

JATU ni kampuni ya kitanzania iliyosajiliwa kama kampuni ya umma (Public Limited Company) mwaka 2016 baada ya kupata usajili wake wa kudumu kutoka BRELA kwa usajili namba 130 452, pia inatambulika na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa TIN namba 132-718-008. JATU ni kampuni inayojishughulisha na miradi ya kilimo, viwanda na masoko 132-718-008. JATU ni kampuni inayojishughulisha na miradi ya kilimo, viwanda na masoko

Dira ya JATU

Kuwa kampuni inayoongoza katika kutoa huduma bora na kuwezesha upatikanaji wa kipato kwa kila mtu.

Dhima ya JATU

Kujenga afya na kutokomeza umaskini kwa kutumia rasilimali watu, kilimo na viwanda

Usajiri wa JATU na BRELLA

Usajiri wa JATU na TRA

Usajiri wa JATU na Trademarks