OFISI ZETU

MAWASILIANO YA JATU TANZANIA
—————————————————

Ndugu Mtanzania, unaweza pia kufika katika ofisi ya JATU PLC iliyo Karibu na wewe ili kuweza kujipatia maelezo zaidi kuhusu jatu na miradi yake ya kilimo, viwanda, masoko na mikopo. Tunapatikana katika MIKOA ifuatayo;

Makao Makuu JATU PLC: Dar es Salaam, Tanzania

      Jengo PSSSF House Morogoro road Samora avenue ghorofa ya 11, Dar es salaam

Makao Makuu JATU SACCOS: Dar es Salaam, Tanzania

      Nyumba no. 56, Sabasaba, Temeke, Dar es salaam

S.L.P 42155  – Dar es salaam, Tanzania Tel:  +255 745 138 787‬, E-mail: info@jatu.co.tz

 1. ARUSHA
  Ofisi ipo arusha mjini Kata ya Kaloleni katika jengo la Kondo Investment gorofa ya pili room namba 221. Jengo hili linatazamana na kanisa LA Pentekoste la kaloleni. Unaweza kupiga simu: ‭+255 755 001 169
 2. DODOMA-MJINI
  Ofisi ya jatu Dodoma mjini ipo around about ya bahi road jengo la Dodoma Media College ghorofa ya chini namba 0755650080
 3. DODOMA-KIBAIGWA Ofisi za Jatu zipo mji mdogo wa Kibaigwa hapa ndipo kuna kiwanda cha kusaga unga wa mahindi pamoja na kukamua mafuta ya alizeti. Huduma zote za jatu pia zinapatikana hapa; tupo kibaigwa mjini kabisa barabara kuu ya Dar es Salaam-Dodoma. Piga simu: ‭+255 65 508 2801‬
 4. MOROGORO
  Ofisi ya jatu mkoa wa Morogoro ipo katika wilaya ya kilombero kata ya Igima maarufu kwa jina La Mbingu, hapa ndipo kulipo na kiwanda cha kukoboa mchele wa Jatu kwa wakulima wa mpunga, pia huduma zote zinapatikana ukifika mbingu ulizia Jatu Rice Milling Plant; au Piga simu: ‭+255 65 527 2277‬.
 5. MTWARA
  Ofisi ya jatu mkoa wa Mtwara ipo mtwara mjini katika jengo la PPF gorofa ya Tatu, wengi wanapaita NMB ya mjini, jengo lipo Karibu na stend kuu ya zamani ya mtwara mjini; unaweza kupiga simu: +255 745138787
 6. MWANZA
  Ofisi ya jatu ipo Mwanza mjini katika Mtaa wa Nyerere jengo la CCM, unaweza kupiga simu: ‭+255 743 889 735‬.
 7. MANYARA-KITETO
  Ofisi ya jatu ipo katika wilaya ya kiteto, kibaya mjini ndani ya stend kuu ya kiteto, Hii ndo Ofisi inayosimamia mradi wa kilimo kiteto. Unaweza kupiga simu:‭+255 759 363 377‬
 8. DAR ES SALAAM – POSTA
  Ofisi ya JATU idara ya masoko inapatikana Posta mtaa wa Samora jengo la PPF HOUSE Ghorofa ya Sita(6). Mawasiliano simu namba +255 657 779 244

MUDA WA KAZI
————————
Ofisi zote za JATU zinatoa Huduma kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi na moja jion. Jumatatu hadi Ijumaa. Siku za Jumamosi ni maalumu kwaajili ya ofisi yetu ya Posta ambapo inaendesha semina kwa umma, mabalozi na wanachama wa JATU kiujumla.

Unaweza kutembelea mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo;

Facebook: Jatu Plc
Instagram: Jatuplc
YouTube: Jatu TV
Playstore/Appstore: Jatu market(app)
Tovuti: http://www.jatu.co.tz
———————————————

Unaweza pia kuwasiliana na uongozi wa juu kama ifuatavyo;

MASOKO: ‭+255 657 779244‬
MHASIBU: ‭+255 762 666 036‬
MKUU WA ICT: ‭+255 719 292 147‬
JATU SACCOS: ‭+255 65 269 2262‬
KATIBU MKUU: ‭+255 786 376 372
————————————————
Email: info@jatu.co.tz

JATU~Jenga Afya Tokomeza Umaskini