Bei ya mazao na bidhaa JATU KILIMO 26.07.2021

Ndugu mkulima wa JATU unaetaka kuuza mazao yako ambayo umelima na kampuni ya JATU PLC unapaswa kuendelea kufuatilia mtiririko wa bei za kununua mazao ambazo zinatokana na bei ya sokoni ambapo zao husika limelimwa. Kama ifuatavyo;

BEI YA BIDHAA ZA JATU

Download JATU Market APP inayopatikana playstore/appstore kisha anza kufanya manunuzi ya bidhaa za JATU zenye ubora na bei zetu ni nafuu pia ukinunua unapata gawio la faida kila mwezi kutokana na manunuzi yako. Jitahidi ufikishe Kg 100 kwa mwezi na ujenge mtandao imara wa walaji ili utimize malengo ambayo yatakuwezesha kutengeneza faida ya kutosha kupitia bidhaa za JATU. Kumbuka dhima yetu ni “KULA ULIPWE NA JATU PLC”

View Page