One thought on “FURSA YA KUMILIKI SHAMBA LA UFUGAJI WA KISASA (FEEDLOTS)

  1. habari za leo Jatu Kilimo naomba kuuliza: Ni lini tutalipwa pesa zetu za mauzo ya mahindi na marage mbona tunaelekea kwenda kupokea taarifa ya kilimo cha msimu mwingine?  wapendwa kama faida kwa heka ni 350,000 tu hamuoni kama ni pesa ndogo sana? na imekaa muda mrefu mno? Kuchelewesha malipo hayo ni sawa na kumnyima mtu haki yake. Tafadhali napenda kujua ni lini nitalipwa pesa hiyo? Mameltha S.Lumelezi

    Na.AA-4890

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s