Kampuni ya JATU PLC ikiongozwa na Meneja Mkuu Bw Mohammed Issa Simbano imewafikia wakazi wa Arusha tukiwa na kampeni iliyopewa jina la WIKI YA MAVUNO, ANZA NA EKARI MOJA kampeni hii ina lengo la kuwahabarisha zaidi wakazi wa Arusha na kanda nzima ya kaskazini yaani Kilimanjaro, Tanga na Manyara kuhusu shughuli zinazofanywa na JATU PLC hususani katika suala zima la Kilimo.
Washiriki mbalimbali wata kuwepo, ni pamoja na wadau wa sekta ya kilimo.
Wote mnakaribishwa kuwekeza ndani ya Jatu Plc. Karibu tulime bila Stress.










Hongereni kwa kazi nzuri Jatu plc hakika mnafanya vyema kusaidia sekta ya kilimo.Nina ombi,ninahitaji mawasiliano ya mkurungezi mtendaji au mkurungezi mkuu🙏
Sent from nyarubanja
>
LikeLike
Asante..! Karibu ufike ofisini kwetu au tupigie kwa simu no. 0758396767 kwa maelezo zaidi.!
LikeLike