KUELEKEA WIKI YA MAVUNO KANDA YA KASKAZINI

Kampuni ya JATU PLC ikiongozwa na Meneja Mkuu Bw Mohammed Issa Simbano imewafikia wakazi wa Arusha tukiwa na kampeni iliyopewa jina la WIKI YA MAVUNO, ANZA NA EKARI MOJA kampeni hii ina lengo la kuwahabarisha zaidi wakazi wa Arusha na kanda nzima ya kaskazini yaani Kilimanjaro, Tanga na Manyara kuhusu shughuli zinazofanywa na JATU PLC hususani katika suala zima la Kilimo.

Washiriki mbalimbali wata kuwepo, ni pamoja na wadau wa sekta ya kilimo.

Wote mnakaribishwa kuwekeza ndani ya Jatu Plc. Karibu tulime bila Stress.

2 thoughts on “KUELEKEA WIKI YA MAVUNO KANDA YA KASKAZINI

  1. Hongereni kwa kazi nzuri Jatu plc hakika mnafanya vyema kusaidia sekta ya kilimo.Nina ombi,ninahitaji mawasiliano ya mkurungezi mtendaji au mkurungezi mkuu🙏

    Sent from nyarubanja

    >

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s