MABALOZI WA JATU,MRISHO MPOTO NA TABU MTINGITA LEO KATIKA BANDA LA JATU

Maonesho ya 45 ya sabasaba yanazidi kupamba moto katika viwanja vya Mwl Julius Kambarage Nyerere huku banda la JATU PLC likizidi kuwavutia watu wengi zaidi kutokana na shughuli ambazo kampuni inajihusisha. Kilimo ndio shughuli kuu ya JATU lakini ili kushiriki miradi ya kilimo ni lazima kuwa na hisa ambapo kwa elfu tano tu unamiliki hisa kumi. Lakini kubwa zaidi leo hii tulikua na ugeni wa mabalozi wawili wa JATU ambao ni Mrisho Mpoto maarufu kama Mjomba pamoja na Tabu Mtingita ambae amejizolea umaarufu katika uchekeshaji haswa pale anapotumia neno lake la (Asubutuu). Ugeni huu uliambatana na burudani mbalimbali kutoka kwa bendi ya Mrisho Mpoto huku watoto wakijizolea zawadi mbalimbali kutoka JATU.

One thought on “MABALOZI WA JATU,MRISHO MPOTO NA TABU MTINGITA LEO KATIKA BANDA LA JATU

  1. JATU kweli Wana Fursa za kufa mtu !! Ambaye hajaziona hizi fursa namsikitikia kwani anakosa msingi wa maisha ya Familia yake.

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s