BALOZI WA JATU(ANTHONY LUVANDA) MAPEMA LEO KATIKA BANDA LA JATU PLC

Leo ni siku ya nane tangu maonyesho ya sabasaba yameanza, haya ni maonyesho ya 45 na ukomo wake ni tarehe 13/7/2021. Anthony Luvanda maarufu kama (MC LUVANDA) ambaye ni balozi wa JATU PLC leo ametembelea banda la JATU na kupata fursa ya kujifunza mambo mengi zaidi ikiwemo fursa ya hisa pamoja na kilimo ambayo inapatikana katika banda letu.

Baada ya kupata elimu na maelezo mbalimbali kutoka kwa maafisa masoko wetu, MC Luvanda ambae ni maarufu kwa uhamasishaji lakini pia ni mtu mwenye ushawishi mkubwa kwa vijana amewasihi wananchi kuhakikisha kuwa wanatembelea banda namba 56 wanapopatikana JATU,

MC Luvanda alipata wasaa wa kuteta na meneja mkuu wa JATU bwana Mohammed Issa Simbano ambapo waliongea mengi zaidi kuhusiana na mwenendo mzima wa JATU.
Jatu talk tv pia tulipata nafasi ya kufanya mahojiano na Mc Luvanda, unaweza kuangalia mahojiano haya kupitia youtube channel yetu ya JATU TALK TV

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s