JATU PLC YAENDELEA KUKUSOGEZEA FURSA MPAKA ULIPO

Kampuni ya JATU PLC kupitia kampeni  ya BUKU TANO INATOSHA ambayo imekua na dhima kuu ya kuuza hisa zake za awali ambazo zinapatikana kwa bei rahisi, hisa moja ni shilingi mia tano lakini kwa BUKU TANO unajipatia hisa 10 za JATU,BAR TO BAR kampeni  imeendelea kukusogolea zaidi ambapo jana wakazi wa Tabata na maeneo ya jirani walipata fursa baada ya kutembelewa na balozi wetu Piere Likwidi ndani ya The Great bar akiwa na timu nzima kutoka JATU PLC huku lengo kuu likiwa ni kutoa elimu ya hisa lakini kubwa zaidi kuuza hisa za JATU ambazo bado zipo katika ofa.

Leo ni zamu ya wakazi wa mbezi beach kupata fursa hii ya kununua hisa za JATU ambapo timu nzima ya maafisa mauzo itakua ndani ya Juliana Bar pamoja na mabalozi wa kampeni hii kuhakikisha kuwa wananchi wa maeneo hayo wanapata elimu zaidi kuhusu HISA lakini wakiendelea kununua hisa za JATU kwa bei rahisi na kunufaika zaidi,hisa hizi unaweza kuzipata kupitia NMB bank, DCB bank,ofisi zote za JATU, mawakala au brokers na DSE hisa kiganjani.

NUNUA ZAIDI, UFAIDIKE ZAIDI.

2 thoughts on “JATU PLC YAENDELEA KUKUSOGEZEA FURSA MPAKA ULIPO

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s