BUKU TANO INATOSHA KUMNUNULIA UMPENDAE

Kampuni ya JATU PLC kupitia kampeni yake ya BUKU TANO INATOSHA inaendelea kwa kuhakikisha kuwa kila mtu anazidi kunufaika na hisa hizi ambapo kwa BUKU TANO TU sasa unaweza KUMNUNULIA UMPENDAE cha kufanya ni kujaza fomu ya hisa kupitia ofisi zote za JATU PLC, NMB bank, DCB bank, DSE (hisa kiganjani), mawakala(brokers) au maafisa mauzo wetu ambao wanapatikana mitaa tofauti wakiwa wamevalia reflector zilizoandikwa BUKU TANO INATOSHA hakikisha kuwa unaijali kesho ya umpendae awe rafiki,mtoto,mama,baba au ndugu kwa kumnunulia hisa za JATU ambapo kwa BUKU TANO utakua umemnunulia hisa 10.

Zifuatazo ni faida atakazonufaika nazo yule umpendae baada ya kumnunua hisa
 • Kushiriki kwenye miradi ya kilimo na JATU PLC.
 • Kupata gawio la faida kila mwaka. 
 • Uhakika wa kupanda kwa bei ya hisa ya JATU,hivyo atauza na kupata faida zaidi.
 • Kupata cheti cha umiliki wa hisa na kutumika kama hazina.
 • Kupata fursa ya uwakala wa bidhaa za JATU.

5 thoughts on “BUKU TANO INATOSHA KUMNUNULIA UMPENDAE

 1. Ndo nimeona Leo taarifa za JATU na nimevutiwa nazo na ninauhitaji wa kununua hisa tafadhali naomba maelezo kidogo kuhusu sehem ya kununulia kwa mkoa wa dodoma.

  Like

  1. habari, tafadhali fika katika ofisi zetu zinazopatikana kwa anuani hii au wasialiana nasi kwa namba hizi kuweza kupata maelekezo zaidi, asante
   Ofisi ya Jatu Dodoma Mjini ipo Majengo mtaa wa Sango, jengo la Kisangani, ghorofa ya pili. Au Tupigie kwa simu no. +255 755 650 080

   Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s