MKUTANO WA MKURUGENZI NA WAKULIMA WA JATU PLC

Ni mkutano maalum ulioandaliwa na Mkurugenzi wa Jatu Plc, Ndg. Peter Isare unaolenga kukutana na wakulima wa Jatu Plc kujadili mambo mbalimbali yanayohusu huduma zetu ikiwemo; Kufahamu mfumo wa malipo ya mazao ya wakulima, Taarifa kuhusu mavuno ya msimu wa mwaka 2020/2021, Mwenendo wa maandalizi ya msimu ujao wa mwaka 2021/2022 pamoja na mengineyo.

Mkutano huu utafanyika siku ya Jumamosi hii ya Tar 5/6/2021 katika viwanja vya Mwl. Nyerere, Sabasaba Maonyesho, Kuanzia saa Tatu Kamili Asubuhi. Usipange kukosa, na hakuna kiingilio.

NYOTE MNAKARIBISHWA….!

One thought on “MKUTANO WA MKURUGENZI NA WAKULIMA WA JATU PLC

  1. Ahsante Mkurugenzi kwakutuandalia Mkutano kwani ni muda mrefu kweli Wakulima wa JATU hatujakutana. Binafsi nimewamiss haswa Uongozi mzima wa JATU !!

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s