JATU UNITALK NDANI YA MOROGORO

Jatu unitalk ni kampeni maalum iliyoanzishwa na kampuni ya JATU baada ya kuona kuwa kumekua na changamoto kubwa katika suala zima la ajira baada ya wanavyuo kuhitimu masomo yao.

Lengo la kampeni hii ni kutoa elimu kwa wanavyuo mbalimbali nchini Tanzania kuhusiana na fursa mbalimbali zilizopo ndani ya JATU ambapo wanafunzi hawa wanaweza kuzitumia ili kujipatia kipato kabla na baada ya kuhitimu masomo yao, fursa kama Kula Ulipwe, Kilimo, Jatu Wakala, Hisa za JATU nk.

Kampeni hii tayari imeshaacha alama chanya katika vyuo mbalimbali kama TIA, Ardhi University, Muslim University of Morogoro.

Lakini Ijumaa hii sasa ni zamu ya Morogoro School of Journalism na kupata nafasi ya kusikia mambo mazuri ama fursa kutoka JATU PLC

Usipange kukosa..! Nyote Mnakaribishwa….

2 thoughts on “JATU UNITALK NDANI YA MOROGORO

  1. JATU mmefanya jambo la maana Sana kuwaelimisha vijana wetu wa vyuo kwani ni wengi wanatembea na vyeti na wengine wanaviweka ndani na kulalamikia Serikali haitoi ajira wakati fursa zipo kibao. Hongereni Sana JATU kwa ubunifu huo. Mungu awabariki Sana.

    Liked by 1 person

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s