Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth Makune ambae ni balozi wa JATU PLC ametembelea makao makuu ya JATU PLC yaliyopo jijini posta katika jengo la PPF house akiwa katika studio za JATU TALK TV amewaasa na kuwasihi watanzania kuchangamkia fursa ya KULA ULIPWE ndani ya JATU kwa kuendelea kutumia bidhaa mbalimbali za chakula haswa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu za pasaka.

Balozi Queen Elizabeth Makune alitoa mfano akisema, “Piga hesabu tangu umeanza kununua bidhaa mpaka sasa, kama ungekua unapata gawio ungekuwa na pesa kiasi gani?” Lakini kupitia mfumo wa JATU MARKET tunakupatia gawio la faida kila mwezi kwa kila bidhaa utakayonunua kutoka Jatu Plc.

Pakua mfumo wetu wa JATU MARKET katika simu yako sasa uanze kufurahia huduma zetu wewe pamoja na familia yako haswa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu ya Pasaka.