JATU imefungua supermarket zenye ubora wa hali ya juu nchini tanzania ili kuweza kukidhi mahitaji ya wa tanzania na kuhakikisha kuwa wanaweza kutengeneza kipato cha kutosha kwa kupitia chakula cha kawaida cha nyumbani.Bidhaa zinazopatikana kupitia supermarket zetu ni maharage;mchele daraja la kwanza,la pili na la tatu,mafuta ya alizeti,karanga,vitunguu,unga wa sembe na dona,unga wa lishe.Supermarket zetu zinapatikana katika mikoa ifuatayo;
Arusha ambayo ni kanda ya kaskazini,inapatikana katika jengo la Saidi condo karibu na shule ya kaloleni au simu namba 0762264730
Mtwara ambayo ni kanda ya kusini,supermaket hii ipo Mtwara mjini mtaa wa Sokoine jengo la PSSSF floor no 2 au simu 0745910265
Dar es salaam ambayo ni kanda ya pwani,supermarket zinapatikana mjini posta PPF house floor no 1, Tabata kinyerezi na viwanja wa maonyesho sabasaba au simu 0758396767
Mwanza ambayo ni kanda ya ziwa,supermarket inapatikana mtaa wa ghana katika ghorofa ya olympic ground floor mkabala na rock city mall au simu 0743889735
Dodoma ambayo ni kanda ya kati,supermarket zetu zipo majengo sokoni,jengo la kisagani floor no 2 au simu 0755650080.
Usisahau kila bidhaa utakayonunua kupitia mfumo wa JATU MARKET tutakupatia gawio la faida kila mwisho wa mwezi.
Karibuni sana katika supermaket zetu
Inapendeza msitusahau wa Morogoro na Ifakara
LikeLiked by 1 person