Ikiwa chini ya JATU PLC hatimaye JATU KULA ULIPWE RESTAURANT kuzinduliwa rasmi ifikapo Tarehe 1 Aprili 2021. JATU Kula Ulipwe Restaurant inapatikana Posta katika jengo la PSSSF House ghorofa ya nne ikiwa na mazingira rafiki na ya kisasa yanayomhakikishia mteja hali ya utulivu na kujihisi yuko nyumbani wakati wote anaokuwepo ndani ya mgahawa.
Licha ya kuwa ya mgahawa huo kupatikana Posta kupitia mfumo wa JATU MARKET app mtu yoyote anaweza kuagiza chakula kutoka JATU KULA ULIPWE na kufikishiwa chakula alichoagiza popote alipo ndani ya muda na chakula kikiwa katika hali bora.

Imetolewa na
JATU PLC
Oh awesome
LikeLiked by 1 person
karibu sana
LikeLike
Asante kwa taarifa na hongera kwa JATU. Je kilimo cha maharage kilindi kimefikia wapi
LikeLike
habari, kilimo cha maharage kwa msimu upi?
LikeLike
Hongereni Sana JATU kwakupiga hatua. Sasa ni wakati wa kuinvest ktk Ardhi yenye jina la JATU hapa jijini Ili kuweza kuidumisha JATU ktk historia kwa vizazi vijavyo.
LikeLiked by 1 person
asante sana.
LikeLike