RIPOTI YA SIKU KUHUSU HISA ZA JATU PLC NDANI YA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM (DSE)

Tarehe 4, Februari 2021

Siku ya jana ubao wa hisa za Jatu kulikua na jumla ya hisa 2,230 zenye thamani ya Tsh 1,695,100 zilizouzwa na kununuliwa katika miamala 12, kwa bei ya wastani ya Tsh 760, idadi ya hisa zilizobaki zikisubiri kununuliwa ni hisa 12,220. Thamani ya kampuni ni Tsh billioni 1.64 .

Kampuni ya Jatu plc inawakaribisha wanahisa Pamoja na wanachama wake kuwekeza katika mradi wa kilimo cha maparachichi unaosimamiwa na kampuni katika mkoa wa Njombe, zao hili lina faida sana kutokana na kua na soko la uhakika kitaifa na kimataifa, pia kutakua na ziara ya kutembelea mashamba ya mradi wa parachichi ambapo utapata fursa ya kuona mashamba na kujionea mwenendo wa mradi huu, safari hii itakua ni tarehe 23 Aprili mpaka tarehe 26 Aprili, ili kushiriki lipia coupon yako kupitia mfumo wa Jatu market.

Tunaendelea kuwakaribisha kushiriki katika mradi wa kilimo cha umwagiliaji kwa zao la maharage kwa msimu wa mwaka 2021/2022, nunua shamba lako kwasasa kupitia mfumo wa Jatu market mradi huu ni wa faida sana kwani unaweza kulima mpaka mara mbili kwa mwaka.

Imetolewa na:

Sarafina Adrian

Mchumi na mchambuzi wa maswala ya hisa Jatu PLC

4 thoughts on “RIPOTI YA SIKU KUHUSU HISA ZA JATU PLC NDANI YA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM (DSE)

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s