Baada ya kusubiri kwa muda mrefu sasa semina za kila Jumamosi zinazoandaliwa na JATU zimerudi tena. Usikose kuhudhuria semina itakayofanyika Jumamosi ya tarehe 22.08.2020 (kesho) kufahamu fursa wakadha ndani ya JATU.
Lengo la semina hizi ni kufungua fursa za uwekezaji kwenye kilimo, viwanda, masoko na mikopo ambazo zinapatikana kupitia JATU PLC ili kutimiza azma ya kujenga afya na kutokomeza umasikini kwa watanzania wote.

Safi Sana maana wateja wetu walikuwa wanaulizia Sana hizi Semina. Tunashukuru sana. Sasa Ni mwendo wa kualika tu watu !! Piga keleleee kwa JATU !!! 😄😄😄
LikeLike
Semina hizo zinafanyika wapi? Wengine ni members wapya. Tafadhali nijulishwe zinafanyikia wapi?
LikeLike
Sorry, nimeona kwenye tangazo. Venue na time. Asante.
LikeLike