FURSA KWA WANUNUZI WA MAZAO NA JATU
Ni muda wa mavuno extra sasa mazao yote yapo sokoni kwa wadau ambao wangependa kununua mazao ya wakulima wa JATU yaliohifadhiwa kwenye maghala yetu kwa bei ya soko kipindi hiki cha mavuno kupitia JATU market App na kisha kuyauza baadae bei za soko zikipanda kupitia viwanda vyetu wanakaribishwa kufanya biashara na wakulima wetu. Lengo la JATU ni kuongeza wigo na faida ya kilimo biashara huku tukitimiza azma yetu ya kujenga afya na kutokomeza umasikini.
Ni muda wa Mavuno Extra Tukutane Sokoni

Kwakweli tunaushukuru Sana Uongozi wa JATU PLC. kwakutupanulia wigo wa biashara sisi Wakulima wa JATU kwani tunaiona kabisa njia ya “Kutoboa” ileeeeeeee !! Vision 2022 inaanza kutimia kabla ya kufikia muda husika !!
LikeLike
mm ninaswali inamana nikinunua yatabaki uko2 au naweza kuyachukua. katika maelezo apo umesema badae kuyauza ktk viwanda vya Jatu. kna kitu sijaelewa
LikeLike
Ndio mkuu yatahifadhiwa kwenye maghala yetu mpaka pale utapohitaji kuyauza tena kwa bei yenye faida
LikeLike
Naomba maelezo ya kitaalamu,app ya jatutalk haifunguki. Nimejaribu muda mrefu nimeshindwa. Labda nakosea password, Sara nifanyeje ili nami nishiriki kwenye kutoa wazo.
LikeLike