Balozi wa JATU PLC Mjomba Mpoto @mrishompoto akitoa elimu na burudani kwa wadau mbalimbali waliotembelea Banda la JATU @jatu_plc @jatu_pesa @jatu_talk katika maonesho ya 44 ya sabasaba. Mjomba Mpoto alithibitisha ule usemi wa waswahili kwamba samaki mkunje angali mbichi kwa kushirikisha wazazi na watoto wao kwenye fursa za uwekezaji kupitia JATU, endelea kutembelea Banda la JATU kipindi hiki cha maonesho ya sabasaba ambayo yatamalizika tarehe 13/7/2020, fursa ni nyingi karibuni sana.