Msimu huu wa sabasaba JATU PLC tumeshiriki pia, usipange kukosa kutembelea katika banda letu, kuna mambo mazuri kemkem, njoo ujifunze kuhusu fursa mbali mbali.
Fursa za kilimo cha kisasa kisichokuwa na stress kabisa @jatu_plc.
Fursa za kula ulipwe, yaani kwa namna gani tunatokomeza umasikini kupitia chakula tunachokula kila siku @jatu_plc.
Njoo tukueleze ni kwa namna gani ubunifu wako, wazo lako na mtaji vinaweza kukutana @jatu_talk.
Mikopo ya kilimo isiyo na riba na mikopo ya maendeleo yenye riba nafuu kabisa @jatu_pesa.
Na endelea kufatilia matukio mbalimbali msimu huu wa sabasaba kupitia channel yetu ya Youtube ya Jatu TV.
Karibu sana tupo Karibu na Banda la maliasili.
Sabasaba ya mwaka huu 2020 UCHUMI WA VIWANDA KWA AJIRA NA BIASHARA ENDELEVU.
Nipo moshi mkoani Kilimanjaro niwezaje kujiunga na JATU kufanya kilimo na Jatu na kula na Jatu
LikeLike
Habari Elifariji
Wasiliana nasi 0658126324 kwa taratibu za kujiunga
LikeLike