Ni takribani miezi mitatu Tangu tuanze kupanda maharage msimu wa mwaka 2019-2020. Leo tunawaletea taarifa za maendeleo ya zao letu shambani.
Maharage yetu yanaendelea vizuri kama tunavyo yaona katika picha. Tunategemea mwezi ujao tutaanza mavuno.
Hata hivyo tumekumbana na Bado tunachangamoto ya mvua. Hali hii inasababishwa na mvua kukata Tangu mwezi wa Tano.
Endelea kufuatilia taarifa hizi kupitia jatu talk na sisi tutaendelea kuwafahamisha.
Nimeangalia kwa makin katika orodha ya wakulima wa maharage 2020/21 sipo nilikwishalipia pesa ya kukodi shamba ekari 2 sh.200000 Kilindi Tanga.
LikeLike
Habari Mkuu,
Leo tunategemea kutoa updated list hivyo jina lako litakuwepo
LikeLike
Asante huenda orodha ijayo, nimeangalia ya leo hakuna. Mameltha
LikeLike