Habari njema kwa wakulima wetu wa mahindi wilayani Kiteto mkoani Manyara. JATU PLC wataalamu wa kilimo kisichokuwa na stress tunajivunia sana zao letu la Mahindi kwa kuendelea kuwa na matokeo mazuri katika msimu huu kwasasa tumeshamaliza palizi tunasubiri mahindi yetu yakauke ili tuweze kuanza zoezi la uvunaji wa mazao yetu. Mategemeo ya mavuno ya zao hili kwa msimu huu ni mazuri sana na yanaleta matumaini makubwa kwa wanachama waliowekeza katika kilimo hiki.
Karibu sana ujiunge na JATU PLC ili uweze kushiriki katika miradi mbalimbali ya kilimo yenye tija kama mradi huu wa kilimo cha mahindi ili kwa pamoja tuweze Kujenga afya bora kwa kupata bidhaa bora za kilimo na kutokomeza umasikini kupitia kilimo biashara.
Najitahidi kukusanya taarifa nyingi kuhusu kampuni yenu. Nimeomba nitumiwe Katiba/ Utaratibu wa kampuni kwa PDF niweze ku – Print ili niweze kusoma vizuri badala ya kusoma kupitia Smartphone, lakini mpaka sasa hivi sijafanikiwa kupata
LikeLike
Habari Mkuu,
Karibu sana mkuu tafadhali wasiliana nasi +255 758 396 767 kupata hizo taarifa
LikeLike
Utaratibu Wa kujiunga uwe wazi.
Namna yakuwaunga watu wengine mfano watoto,ndugu utaratibu wake ukoje.
LikeLike
Kwa taratibu za kujiunga wasiliana nasi 0758396767
LikeLike