JATU Super Dinner ni tukio la kipekee sana ambalo litafanyika ukumbi wa Serena Hotel tarehe 14/03/2020 likilenga kukutanisha wadau mbalimbali wenye nia ya kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji na viwanda vya kuchakata nafaka kwenye mradi wa Kiteto, Manyara.
Ni fursa adhimu kwa wadau wote wa maendeleo ya kilimo nchini wenye malengo ya kuwekeza kwenye kilimo cha kisasa cha umwagiliaji kisicho cha usumbufu wowote na chenye tija huku kikiwa kimeunganishwa na viwanda.
MAHALI: SERENA HOTEL DAR ES SALAAM
MUDA: KUANZIA SAA MOJA USIKU
MGENI MUALIKWA(ATAKUWEPO): MMILIKI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA VIWANDA VYA KUSIGA
