4 thoughts on “NEW EDITION IS AVAILABLE, KNOW ABOUT JATU PLC, INVEST WITH US, DOWNLOAD IT NOW, ENDELEA KUFATILIA BLOG YETU KWA TAARIFA ZAIDI.

  1. Program yenu ni nzuri,lakini gharama zenu za kilimo ziko juu,kwa mfano mimi binafsi nimekuwa nikilima kiteto,gharama ya kukodi shamba kwa ekari ni sh. 30,000 lakini nyie mnachaji elfu 50,hamuoni kwamba kwa kufanya hivi mnakuwa madalali badala ya wakwamuaji wananchi kiuchumi?

    Like

  2. Mimi nimekuwa mtumiaji wa bidhaa za Jatu,lakini naona mnahitaji kuboresha zaidi,hasa kwenye mafuta ya kupikia, bado hamjafikia kiwango kizuri katika purification.Jitahidini mfikie kiwango cha Sunbelt na Sundrop,vile vile bidhaa kama karanga, fanyeni marekebisho ziwe bora.Utaratibu ni mzuri,unaturahisishia kupata mahitaji bila kuyafuata ya lipo,lakini sasa uongozi usimamie kuhakikisha kwamba bidhaa zinazozalishwa zinakuwa bora.Naongea hivi kwa sababu kuna siku niliagiza karanga,nililetewa karanga ndogo( zimesinyaa kabisa)

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s