RATIBA YA KILIMO NA JATU KWA MSIMU MPYA 2020/21 YATOKA RASMI FEBRUARY MOSI MAZAO YOTE SOKONI, ENDELEA KUFUATILIA BLOG YETU KWA TAARIFA ZAIDI

Habari njema kwa wakulima wote ambao wangependa kushiriki kwenye miradi ya kilimo na kampuni ya JATU PLC kuwa ratiba kwa msimu mpya wa kilimo 2020/21 imetoka rasmi, kutokana na uhitaji mkubwa wa mashamba kuanzia februari mosi mazao yote(yaani mpunga, maharage, mahindi, alizeti na machungwa) yatakua sokoni ambapo mkulima ataweza kukodi au kununua shamba kwenye mradi wowote wa kilimo unaosimamiwa na JATU. Lengo la JATU ni kuhakikisha wadau wote ambao wangependa kuwekeza kwenye kilimo cha kisasa wanapata fursa hii na kuanza mchakato mapema iwekenavyo bila wao kupata usumbufu wowote kwenye utekelezaji wa mradi huu. Msimu huu tumejipanga kulima takribani ekari 15000 kwenye miradi yote hivyo kutoa wigo mpana kwa wadau wengi zaidi kushiriki, pia kwa wale wataojiunga mapema watapata fursa ya kupata mikopo isio na riba ya kilimo hadi kufikia asilimia 70 ya gharama zote za kilimo.

Jiunge nasi tukabidhi shamba tulisimamie tukutane sokoni, lima bila stress na JATU PLC.

Download hapa chini ratiba ya kilimo msimu 2020 – 2021

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s