TAZAMA YANAYOJIRI SHAMBANI KITETO KWENYE KILIMO CHA MAHINDI NA JATU, ENDELEA KUFUATILIA BLOG YETU KWA TAARIFA ZAIDI

Tumeingia hatua ya palizi, mahindi yetu leo yametimiza siku 20. Kama yanavyoonekana hapo chini, msimu huu JATU imejipanga kuhakikisha tunapata mavuno ya kutosha kwa kusimamia kila hatua ya kilimo hadi kufikia siku ya mavuno kwa kutumia njia na vifaa vya kisasa huku mchakato mzima ukisimamiwa na wataalamu wetu waliobobea kwenye kilimo cha kisasa.

Jiunge nasi leo utukabidhi shamba tulisimamie tukutane sokoni. Lima bila stress na JATU

2 thoughts on “TAZAMA YANAYOJIRI SHAMBANI KITETO KWENYE KILIMO CHA MAHINDI NA JATU, ENDELEA KUFUATILIA BLOG YETU KWA TAARIFA ZAIDI

Leave a Reply to Godlisten sumari Cancel reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s