Tumeingia hatua ya palizi, mahindi yetu leo yametimiza siku 20. Kama yanavyoonekana hapo chini, msimu huu JATU imejipanga kuhakikisha tunapata mavuno ya kutosha kwa kusimamia kila hatua ya kilimo hadi kufikia siku ya mavuno kwa kutumia njia na vifaa vya kisasa huku mchakato mzima ukisimamiwa na wataalamu wetu waliobobea kwenye kilimo cha kisasa.
Jiunge nasi leo utukabidhi shamba tulisimamie tukutane sokoni. Lima bila stress na JATU
Ni kiasi gani mtu anawezatoa ili ajiunge na kupata shaman
LikeLike
Karibu Godlisten,
Inategemea na mradi karibu kwenye ofisi zetu zilizo karibu nawe kupata huduma na kufahamu kuhusu miradi yetu
LikeLike