HATUA ILIOFIKIA KWENYE KILIMO CHA MPUNGA NA JATU MBINGU MOROGORO, ENDELEA KUFUATILIA BLOG YETU KWA TAARIFA ZAIDI

Huku tukiendelea na hatua mbalimbali kwenye kilimo cha mpunga shambani Mbingu, Morogoro kwasasa tumefikia hatua nzuri na tunazidi kusonga mbele. Mazao yetu yanaendelea vyema kabisa na bila shaka msimu huu utakua wa neema kwa wakulima wa Jatu kiujumla, mpango wetu ni kuendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo ya kilimo kuongeza tija kwenye sekta ya kilimo na viwanda nchini.

Hata hivyo tunawakaribisha wakulima ambao wangependa kufika shambani na kujionea namna zoezi linavyofanyika mnakaribishwa sana fikeni katika kituo cha Jatu Mbingu, kilichopo kata ya Igima wilaya ya kilombero halafu mtaweza kuelekezwa shambani kuja kushuhudia zoezi zima.

Lima bila stress na JATU, jiunge nasi tukabidhi shamba tukutane sokoni.

4 thoughts on “HATUA ILIOFIKIA KWENYE KILIMO CHA MPUNGA NA JATU MBINGU MOROGORO, ENDELEA KUFUATILIA BLOG YETU KWA TAARIFA ZAIDI

   1. Hello Margareth,

    Ndio unaweza kujiunga kwa kupitia simu yako ya mkononi download application ya Jatu kwenye simu yako kisha jisajili sehemu ya sponsor na agent utajaza namba AB-2639 na AA-6086 kisha ukikamilisha usajili wako utapata namba ya uanachama ambao utakusaidia kuingia kwenye account yako ya JATU kupitia jatu app kwa taarifa zaidi unaweza tupigia kwa simu yetu namba 0688256600 au fika ofisi zetu zilizo karibu nawe

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s