JATU Super Dinner ni tukio la kipekee sana ambalo litafanyika ukumbi wa Serena Hotel tarehe 14/03/2020 likilenga kukutanisha wadau mbalimbali wenye nia ya kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji na viwanda vya kuchakata nafaka kwenye mradi wa Kiteto, Manyara.
Hii ni fursa adhimu kwa wapenda maendeleo wote na sio ya kukosa. Namna ya kushiriki kwenye tukio hili ni kwa kununua coupon yako mapema kwa bei ya 100,000/= kwa single na 150,000/= kwa double, coupon zinapatikana kupitia application ya Jatu ambayo inapatikana playstore.

Good job JATU
LikeLike