JATUPESA SASA IPO ONLINE, NI RAHISI NI SALAMA NA NI NAFUU, UPDATE APP YA JATU PESA, ENDELEA KUFUATILIA BLOG YETU KWA TAARIFA ZAIDI.

Sasa JATU imekurahisishia huduma zetu za kifedha, unaweza kufanya miamala yako ya JATU SACCOS kupitia simu yako kwa kupakua APP ya JATUPESA ambayo inapatikana playstore. Mfumo huu utamrahisishia mteja kufanya miamala yake yote pasipo usumbufu wowote na kuhifadhi taarifa zake. Pakua leo APP ya JATUPESA na ufurahie huduma za JATU SACCOS kiganjani kwako, ni rahisi ni salama na ni nafuu.

JATU SACCOS ~ Kopa kwa malengo rejesha kwa wakati

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s