JATU SUPER DINNER ni tukio la kipekee ambalo lenye lengo la kukutanisha kwa pamoja wawekezaji mbalimbali nchini ambao wangependa kuwekeza na JATU kwenye miradi mbalimbali hususani mradi wa kilimo cha umwagiliaji Kiteto. Moja kati ya wageni watakaokuwepo ni pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kiteto Mh. Tamimu Kambona na Mkurugenzi Mtendaji wa JATU PLC Mr. Peter Isare. JATU SUPER DINNER itafanyika tarehe 14 Machi 2020 ukumbi wa SERENA HOTEL Posta Dar es salaam. Endelea kufuatilia kurasa za mitandao yetu ya kijamii na blog yetu kwa taarifa na wageni zaidi watakaohudhuria tukio hili. Ili kuwa mmoja ya wahudhuriaji kwenye tukio hili la kihistoria ni kununua coupon yako mapema maana nafasi ni chache, njoo tuongee kwa pamoja fursa za uwekezaji na JATU PLC. Mwisho wa kulipia coupon ni tarehe 14/2/2020. Kwa mawasiliano tupigie 0657779244
ENDELEA KUFUATILIA BLOG YETU KWA TAARIFA ZAIDI
Habari Jatu, Nahitaji kuwa mwekezaji, namna naweza kuwa nachama?
LikeLike
Habari Martin,
Karibu sana uwekeze nasi kwa taarifa zaidi wasiliana nasi +255657779244
LikeLike
Hello JATU,
Please let me know if you can come on next Monday 20th, Jan 2020 for presentation. PPF HOUSE 3RD FLOOR- PSSSF TEMEKE REGION.
Kind Regards
Joel Mnong’one 0754862905
LikeLike
Hello Joel,
Thanks for invitation can you confirm how many people are willing to invest with us there, have you provided them the initial information about our services and can we reschedule?
LikeLike