Tarehe 12.12.2019 timu ya JATU PLC ilipata wasaa wa kumtembelea Balozi wa Tanzania 🇹🇿 nchini Rwanda mjini Kigali Mh. Ernest Jumbe Mangu kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali hususani katika uwekezaji wa kampuni ya JATU katika nchi ya Rwanda na kuamua kutoa mchango mkubwa wa ushirikiano kwa ajili ya kuhakikisha fursa kupitia kilimo , viwanda na masoko iwe ni njia chanya ya kutatua umasikini katika nchi za Afrika mashariki. Mh.Ernest Jumbe Mangu ametoa pongezi za dhati juu ya mchango mkubwa wa JATU katika jamii.
#JATUÂ PLC IS EVERY WHERE
#WEKEZAÂ NA JATU LEO KWA KUNUNUA HISA UWE KATIKA MNYORORO WA THAMANI.
#JatuplcinRwanda
#kigali
#Rwanda
#tanzaniakwanza