JATU PLC yashiriki kwenye maonesho ya kimataifa ya Gikondo Expo yanayoendelea kwasasa huko Rwanda-Kigali huku JATU PLC ikiwa ndani ya maonesho hayo makubwa ili kuhakikisha Afrika mashariki na sehemu mbalimbali wameweza kunufaika juu ya fursa za kilimo, viwanda na masoko.
JATU ~Jenga Afya Tokomeza Umasikini.
#WEKEZA NA JATU KWA KUNUNUA HISA UWE KATIKA MNYORORO WA THAMANI.