MASHINE MPYA ZA WANAJATU ZAINGIA KUONGEZA NGUVU KILIMO CHA MPUNGA

Ikiwa tumeazimia kufanya mapinduzi kwenye sekta ya kilimo cha kisasa kampuni ya JATU PLC inazidi kusonga mbele kwa kujiimalisha zaidi kwenye sekta ya vifaa vya kilimo venye viwango vya kimataifa baada ya kuongeza mashine nyingine zenye uwezo mkubwa wa kulima eneo kubwa ndani ya muda mchache.

Dhamira yetu kuu ni kuiletea heshima sekta ya kilimo na kumnyanyua kiuchumi mkulima wetu, mashine hizi ni hatua nyingine baada ya wiki chache zilizopita kuongeza trekta kwenye shamba la wanajatu la mpunga Mbingu, Kilombero.

Kilimo kwetu ni ajira ya kudumu jiunge nasi leo uweze kulima kisasa pasipo mawazo zozote. Wekeza na JATU kwa faida yako ya leo na kesho.

JATU-Jenga Afya Tokomeza Umasikini

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s