Semina zinaendelea katika ofisi za idara ya kilimo ,mifugo na uvuvi hapa manispaa ya Morogoro Mjini .Baada ya maafisa mbalimbali wakiwemo maafisa wa kilimo, ufugaji na uvuvi kuwa na chachu ya kutaka kujua zaidi na uhitaji wa kujiunga na Jatu Plc .
#Lengo la Jatu ni kuhakikisha Kila mtanzania yoyote anajenga afya na kutokomeza umasikini kupitia Kilimo, Viwanda, Masoko na Mikopo
#JIUNGE NA JATU LEO UWE KATIKA MNYORORO WA THAMANI.
#kulaulipwe
#jengaafyatokomezaumaskini
#morogoro