Leo katika mahafali ya Nuru nursery school iliyopo Msongola jijini Dar es salaam ambapo kampuni ya JATU PLC ilipata mwaliko maalumu ukiongozwa na Meneja masoko wa kampuni bi.Mary Chulle pamoja na timu yake walipata wasaa wakushiriki vyema katika mahafali hayo na kutoa michango mbalimbali ikiwemo bidhaa za chakula , pesa taslimu kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na zawadi mbalimbali kwa wanafunzi waliofanya vyema katika masomo yao.
Mbali na michango hiyo viongozi wa shule hiyo pamoja wazazi wamefurahishwa juu ya ujio wa Jatu kwa ushirikano wao katika jamii pamoja na kupata semina kuhusu uwekezaji kupitia fursa za Kilimo,Viwanda,Masoko na Mikopo isiyo na riba kwa wakulima.
#JATU NI MFUMO WA MAISHA NA BIASHARA JIUNGE LEO.
JATU ~~Jenga Afya Tokomeza Umasikini.
Tembelea katika tovuti zetu:
http://www.jatukilimo.com
http://www.jatu.co.tz
JATU inajichanganya kila secta, hadi za kijamii. Hongera sana JATU kwakuwapa support watoto wetu.
LikeLike
Habari Fatuma,
Tunashukuru kwa kuwasiliana nasi kupitia blog yetu kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia blog yetu
LikeLike