Jumatatu tarehe 25.11.2019 Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya JATU PLC Ndg. Peter Isare akiwa katika mkoa wa Dodoma halmashauri ya wilaya ya Kondao na viongozi mbalimbali wa halmashauri akiwemo Mwenyekiti wa halmashauri ndugu. Hamza Mafita pamoja na kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya kondoa mjini ambaye pia ni Afisa kilimo wilaya ya kondoa.
Lengo ni majadiliano kuusu JATU PLC kuwekeza fursa mbalimbali kwa wakazi wa kondoa husasa katika fursa za Kilimo. Viongozi wa halmashauri hiyo Wamesema tayari wanalo eneo la takribani ekari 3,000 ambalo tayari lilishafanyiwa upepumbuzi yakinifu na Wako tayari kufanya kazi na Jatu Plc kwa nia ya kujenga Afya na kutokomeza umasikini kwa wakazi wa Kondoa.
#WEKEZA NA JATU LEO.
Kwa maelezo zaidi:
Simu: 0657 779 244
JATU inapasua mawimbi. Mashàallah !! Mungu ajalie JATU ienee Tanzania nzima.
LikeLike
Habari Fatuma,
Tunashukuru kwa kuwasiliana nasi kupitia blog yetu endelea kuwa mteja wa Jatu
LikeLike