USIPITWE NA YALIOJIRI KWENYE MKUTANO WA WANACHAMA WA JATU SACCOS

MKUTANO WA JATU SACOSS
Mkutano wa JATU SACCOS uliofanyika katika ofisi ya JATU PLC makao makuu-sabasaba maonesho ukiwa na lengo la :-
1; Kujadili na kupitisha mapato na matumizi ya chama.

2; Kupitia hesabu za chama za mwaka 2018 zilizokaguliwa na COASCO na kuzipitisha.

3; Kuweka mipango na mikakati ya kuboresha
Jatu Saccos ni nini?
Hii ni saccos ya wanaJatu ambayo huwakopesha wanachama wake kwa riba na masharti nafuu. Saccos ya Jatu huwasaidia wanachama wake kwa kuwakopesha vitendea kazi pamoja na pembejeo za kilimo, lakini pia mwanachama wa jatu anayeshiriki kilimo kwa kushirikiana na
Jatu huweza kupatiwa mkopo kiasi cha mara tatu ya fedha yake aliyotunza kwenye saccos na mkopo huo huwa hauna riba kabisa. ✅Lengo la JATU SACOSS ni kuendelea kushirikiana na wanachama wa JATU PLC kwa pamoja ili tutimize malengo yaliyokusudiwa na kuhimiza wengine kujiunga kuwa wanachama.

JATU~~Jenga Afya Tokomeza Umasikini.

http://www.jatu.co.tz
📞0657 779 244

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s