Habari Wanajatu, Tunawajulisha wakulima wetu wapendwa wanaomiliki mashamba jatu kwamba zoezi la kuchimba maji limeanza rasmi katika shamba letu la kiteto, Matui; Zoezi hili ni endelevu hadi tukamilishe miradi yetu yote iliyopo kiteto, kilindi na kilombero.
Kilimo cha kisasa kwa uhakika wa Maji kinawezekana kabisa ndani ya Jatu PLC
Jenga afya tokomeza umaskini ~Jatu
Nimelipa sh.419,000/= kwa ajili ya kupata mkopo wa theluthi mbili kilimo cha mpunga. Jina langu silioni toleo la kwanza na hata toleo la pili.
LikeLike
Habari Jackson,
Kwa taarifa juu ya mikopo kupitia JATU SACCOS na kilimo cha JATU wasiliana nasi kwa namba 0657779244
LikeLike