JATU YAALIKWA NA WIZARA YA KILIMO KWENYE MKUTANO WA WAFANYABIASHARA NA WADAU WA NAFAKA

Pichani: Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa JATU PLC Eng. Dr. Zaipuna Yonah akiwa na Naibu Waziri wa Kilimo Mh. Hussein Bashe

Jatu Plc imepata nafasi ya kualikwa na Wizara ya Kilimo katika mkutano wa siku mbili (29.08.2019 – 30.08.2019) unaofanyika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere(JNICC), Mkutano huo unawakutanisha wafanyabiashara na wadau wa nafaka nchini pamoja na Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga na kujadili fursa mbalimbali zilizopo katika tasnia hiyo ya nafaka na jinsi ya kuzitumia ikiwa ni pamoja na Masoko. Jatu katika mkutano huo inawakirishwa vyema na Eng. Dr. Zaipuna Obedi Yonah ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi Jatu Plc. Jatu inatoa shukrani kwa Wizara ya Kilimo kwa mualiko huo, na kuwaahidi wanachama wetu kuwa, tutaitumia fursa hii vyema katika kutanua wigo wa biashara yetu ya mazao ya nafaka na Masoko kwa ujumla ili kufikia lengo letu la kujenga Afya na kutokomeza umaskini kupitia Kilimo, Viwanda na Masoko.

7 thoughts on “JATU YAALIKWA NA WIZARA YA KILIMO KWENYE MKUTANO WA WAFANYABIASHARA NA WADAU WA NAFAKA

 1. JATU =Jenga Afya Tokomeza Umasikini !! Ni mkombozi wa Wayanzania wote kwani ina fursa nyingi ambazo mtu unachagua ujikite ktk fursa ipi ambayo inendana na wewe. Big Up JATU.

  Like

 2. JATU =Jenga Afya Tokomeza Umasikini !! Ni mkombozi wa Wayanzania wote kwani ina fursa nyingi ambazo mtu unachagua ujikite ktk fursa ipi ambayo inendana na wewe. Big Up JATU.

  Like

 3. Tunaiombea JATU kila lakheri kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu isongea mbele kwa manufa ya Wa..Tanzania walio wengi.
  Jenga Afya Tokomeza Umasikini.

  Like

 4. You’re highly upcoming farmers solution and openers to the economic freedom. Keep it high @jatu_pls @peterisare.

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s